What Surprises Me

Something that surprises me here in Denver is Colfax Avenue. When I was in Uganda, I didn't expect to find a place like Colfax in Denver, where homeless people sleep on the street. In Uganda, even when people are poor, they take care of each other.

In Kiswahili:
Vitu ambavyo vili nishangaza wakati nilipo fika Denverni Colfax AmbapoPana jaa uchafu na watu ku lala kwenye Balabala, siku zani hata siku moja kama nita ku Tana na fasi kama hiyo ndani Ya muji mukubwa kama huu. Uganda hata kama watu ni masikinialakini Wana jitahidi kusaidiyana.

 


By Grace Ushindi, Ugandan refugee
Emily Griffith Workshops
Fall 2016